On Air Feature

KiSwahili News

Date: Dec 13, 2017

Ni makala inayohusu habari na matukio yanayotokea hivisisasa na kutangazwa natimu ya waandishiwanaouhusika na matukio yanayojrii hivi sasa.

HABARI MHIMU LEO  KATIKA MAKALA YA SURA YA AFRIKA

  • Ni matumaini yangu hujambo msikilizaji na karibu katika makala ya Sura ya Afrika kutoka idhaa ya Kswahili ya Channel Afrika Taswira ya Afrika  tukitangaza kutoka mjini Johannesburg  Afrika Kusini  na je tumekuandalia nini hii leo ?
  • Serikali ya Sudan ya Kusini  imetangaza hali ya tahadhari  kufuatia  mapigano ya kikabila  yaliyosababisha  kuuwawa kwa watu 170 .
  • Serikali  ya Burundi  imeanzisha  mchakato  wa kufanyia  marekebisho  katiba  ya nchi hiyo .
  • Na chama tawala  nchini Uganda National Resistance Movement  imeanzisha kamati itakayoshughulikia   pendekezo lililotolewa   la kutaka muhula uwe wa muda wa miaka saba kwa viongozi wote wanaochaguliwa na wananchi  baadala ya miaka mitano .
  • Na leo jumatano tutakuwa na makala ya Uchumi na Biashara .

Kumbuka matangazo yetu pia yanasikika katika Runinga ya DSTV Audio Channel 802   na unaweza kutuma ujumbe wako mfupi wa maandishi SMS namba ya simu ni  0027763003327.

Kwa niaba ya fundi wa mitambo ...Huyu ni mtangazaji wako Lindile Thobias nikikusihi uwe nami  hadi mwisho wa makala karibu .

 

Comments

comments powered by Disqus

Web Content Viewer (JSR 286)

Actions
Loading...

ADVERTISEMENT

Web Content Viewer (JSR 286)

Actions
Loading...
Complementary Content
CLOSE

Your Name:*

Your Email:*

Your Message:*

Enter Captcha:*